Hii ndiyo nyumba ama Bweni la wasichana wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Wasichana ya Mazae, iliyopo Wilayani Mpwapwa, ambayo kila mwanafunzi anayepanga katika jengo hili hulipa Sh. 10,000 kwa mwezi, sasa hali ya nyumba kama hii kama ni hivi je vipi suala zima la afya ikiwa ni pamoja na Choo na usalama wa wanafunzi hao na mali zao??, na kama mwanafunzi anapanga katika jengo hili na kulipa kiasi hicho cha fedha ni kwa nini asitokee tu nyumbani? HAPA WANAFUNZI HUJISOMEA KWELI USIKU? Picha kwa hisani ya gazeti la UHURU, kupitia Mdau Sophia Ashery
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada awasili nchini kwa ziara ya
Kikazi
-
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai amewasili
nchini kwa ziara ya kikazi ya siku Tatu.
Mhe. Sarai anatarajiwa kutembelea miradi m...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment