Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA SAUDIA, UTURUKI NA VATCAN IKULU DAR LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa  Balozi wa Saudia nchini Tanzania, Hani Abdullah Mo’minah, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo, kwa ajili ya mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Vatcan nchini Tanzania, Francisco Montecillo, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo, kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Ali Davutoglu, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo, kwa ajili ya mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.