Matawi ya mti wa Mbuyu yakiwa yanazidi kukua na kutanda katikati ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la kituo cha daladala cha Mbuyuni, jambo ambalo ni hatari kwa waendesha magari hususan magari makubwa. HATA KAMA MBUYU NI KAZI KUKATWA BASI WAHUSIKA JITAHIDINI KUKATA HAYA MATAWI, ''Kinga ni Bora kuliko Tiba''.
TUMIENI MICHEZO KUDUMISHA AMANI NA UPENDO KATIKA JAMII
-
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
,SACP, Marco G. Chilya, amewataka Maafisa, Wakaguzi, Askari wa vyeo
mbalimbali ...
3 hours ago
C.jpg)
No comments:
Post a Comment