Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wazee wa Dar es Salaam katika ukumbi wa Diamond jubilee jijini Dar es salaam jana jioni kuhusu mambo muhimu yanayolikabili Taifa la Tanzania. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa dar es Salaam, Mhe.Said Meck Sadik.
Sehemu ya wazee waliojitokeza katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jana kumsikiliza Rais Jakaya.
Rais Jakaya Kikwete, akiagana na baadhi ya wazee wakati akiondoka ukumbini hapo baada ya kumaliza kuwahutubia jana.
No comments:
Post a Comment