Habari za Punde

*TASWIRA KATIKA PICHA TANGAZO HILI LIKIHAMIA RASMI MASHULENI NI SAHIHI?



Na je wanafunzi hawa akili itakuwa masomoni zaidi au kusaka maji na kuandika mashahiri 'Mistari'  katika pepa za mitihani? Kama muda mwingi wa wanafunzi hawa watautumia katika kusaka maji haijulikani ni kwa ajili ya walimu ama kwa matumizi ya shule muda wa kuingia madarasani si tayari hata akili inakuwa imechoka? Hapa ni kwanini mtoto asikujazie mistari ya nyimbo anazosikia redioni kipindi anachokuwa amepumzika nyumbani, kwani muda anastahili kusoma ndiyo kwanza huwa bize na ndoo za maji. TAFAKARI HAKI ELIMU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.