Bondia Fransic Cheka (kushoto) akisaini mkataba wa makubaliano ya kupambana na Japhet Kaseba siku ya Sabasaba, ambapo itakuwa ni baada ya pambano lake na Mada Maugo linalotarajia kufanyika siku ya Jumamosi katika Ukumbi wa PTA jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauli wa Cheka, Oscar George na Promota wa mpambano huo Kaike Silaju (katikati) Picha na Super D
DKT.MWINYI: AJIRA KWA VIJANA KUWA SERA MAMA YA SERIKALI IJAYO
-
Pangawe, Zanzibar – 01 Oktoba 2025
MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti ...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment