Mshambiliaji wa timu ya Barcelona Fc, Lionel Messi, akipiga Penati wakati wa mchezo wa mzunguko wa pili wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa kati ya yao na Chelsea mchezo uliochezwa jana, kwenye Uwanja wa Nou Camp Barcelona. Baada ya timu hizo kutoka droo ya 2-2 Chelsea imeibuka kidedea kuendelea na fainali hizo ikiwa na jumla ya mabao 3-2 dhidi ya Barcelona.
Wananchi Kimara Wapongeza Ujio wa Mabasi Mapya ya Mwendokasi
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
BAADA ya wananchi kulalamika huduma zisizoridhisha katika usafiri wa
Mwendokasi hasa kwa wasafiri wa njia ya Kimara, leo...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment