Picha hii ya Godfrey Mazimu, kama inavyoonyesha iliyowekwa na Wanachama wa CUF kata ya Msambweni mjini Tanga, ambao wameweka picha ya mgombea Udiwani wa Kata hiyo aliyekuwa mpinzani wao kupitia CCM, katika uchaguzi mdogo ulimalizika jana na kushindwa katika uchaguzi huo, ambayo wameiweka kando ya Jeneza wakiigiza kuwa mwenye picha hiyo amefariki, ikiwa ni kuonyesha hisia zao kufuatia furaha za ushindi baada ya mgombea wao kupitia CUF aliibuka kidedea na kutangazwa kuwa Diwani wa Kata hiyo. Mbali na Jeneza hilo pia pembenei mwa Jeneza iliwekwa sinia ambayo kila aliyepita eneo hilo aliweka fedha zakuchangia msiba kama rambi rambi. Picha kwa hisani ya Jambo Leo
JAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi-Wakili Kipangula
-
Na Mwandishi wetu, JAB.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili
Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment