Bondia Tomasi Mashari (kushoto) na Selemani Galile wakiwa na mkanda wao wa ubingwa watakaopigania katika pambano lao litakalofanyika kesho, wakati wa utambulisho wa mkanda huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Promota wa mpambano huo Prospa Rweimamu. Picha na Super D
UVCCM YAKEMEA VITENDO VYA UCHOCHEZI YAPONGEZA MARIDHIANO
-
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) limepitisha
maazimio matatu makubwa likiwemo la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa
uo...
5 hours ago

No comments:
Post a Comment