Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na
Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya ABC ya jijini Arusha, Dkt. Jonas Kipokola,
wakifurahia baada ya kuzindua rasmi na kuweka Jiwe la Msingi katika Benki hiyo
mpya wakati Makamu alipofika jijini humo kuizindua rasmi .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya ABC Tawi la Arusha, Anna
Kavishe, kuhusu utendaji wa kazi na ramani ya jengo jipya la benki hiyo, baada
ya kuizindua rasmi, jijini Arusha. Wapili (kulia) ni Mke wa
Makamu Mama Zakhia Bilal na Kulia kwa Makamu ni Mwenyekiti wa Bodi wa Benki
hiyo, Jonas Kipokola.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.
No comments:
Post a Comment