Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma
hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Dini la Waislam na Wakristo
lililoanza leo, kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na baadhi ya viongozi wa dini alipowasili kwenye Hoteli ya White Sands jijini
Dar es Salaam,kwa ajili ya kufungua Kongamano la Dini la Waislam na Wakristo,
lililoanza leo.
Baadhi
ya Viongozi wa Dini wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Mgeni Rasmi Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipofika
kufungua rasmi Kongamano la Dini la Waislam na Wakristo, lililoanza leo kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Viongozi wa dini baada ya kuzindua rasmi Kongamano la
Dini la Waislam na Wakristo katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam,
leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya Viongozi wa Dini, baada
ya kuzindua rasmi Kongamano la Dini la waislam na Wakristo, katika Hoteli ya
White Sands jijini Dar es Salaam, leo .
No comments:
Post a Comment