Mabondia wa kike Mwajuma Ndala Ndefu (kushoto) akipokea konde zito kutoka kwa Asha Ngedele, wakati wa pambano lao la utangulizi la Raundi 4, lililomalizika hivi punde. Katika pambano hilo, Asha Ngedele ameshinda kwa Pointi.
TANZANIA YAWEKA MIKAKATI YA KUFIKIA DIRA YA MAENDELEO 2050
-
*New York, Marekani*
*Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza hatua zake za kuanza
kutekeleza Mpango wa Nne wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mit...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment