Kiungo mshambuliaji wa Simba Harouna Moshi 'Boban' akiifungia timu yake bao la kwanza kati matatu wakati wa mchezo wao uliofanyia jioni ya leo katika Ukumbu wa PTA. Simba ilishinda mabao 3-0.
SERIKALI YAFUNGUA MILANGO YA FURSA, KWA WAKULIMA WA MWANI
-
SERIKALI imewataka wakulima wa mwani nchini kutumia mbinu bora na za kisasa
za kilimo ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo na kuongeza ushindani katika
mas...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment