JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUKAMILIKA KWA ZOEZI LA UTEUZI NA UTARATIBU WA UCHAGUZI
WA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
(Inatolewa
kwa mujibu wa Kanuni za 5(3) ya Nyongeza ya Pili ya Kanuni za Bunge Toleo la 2007)
1.0
Tarehe 9 Machi, 2012
nilitoa Tangazo kwa vyombo vya habari na gazeti la Serikali juu ya kuwepo kwa nafasi Tisa wazi za Ubunge wa Bunge
la Afrika Mashariki kufuatia kufikia ukomo wa maisha ya Bunge la sasa hapo 04
Juni, 2012.
Katika Tangazo hilo niliwaomba wananchi wenye sifa za
kugombea nafasi hizo wafanye mchakato wa kugombea kupitia vyama vyao vya Siasa na
fomu za wagombea waliopendekezwa zirejeshwe Ofisi ya Bunge kabla ya saa 10.00
jioni tarehe 10 Aprili, 2012 ambayo ndiyo siku ya uteuzi. Jumla ya Wagombea 34 kutoka Vyama vya Siasa
vya CCM, CHADEMA, CUF, NCCR-MAGEUZI, TLP, UDP na TADEA wamerudisha Fomu.
2.0
Zoezi la uteuzi
limekamilika, Wajumbe 33 wametimiza masharti ya uchaguzi kwa mujibu wa Mkataba
wa kuanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kanuni za Bunge, hivyo, wameteuliwa
kugombea nafasi hizo. Aidha, Mgombea
mmoja hakutimiza masharti ya uchaguzi ya kuthibitisha uraia wake na kulipa ada ya
uchaguzi kwa mujibu wa Kanuni 5(3) na 6 ya Nyongeza ya Tatu ya Kanuni za Bunge,
hivyo hakuteuliwa kugombea.
Ifuatayo
ni Orodha ya Wagombea walioteuliwa na wasioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa
Afrika Mashariki:-
1.
WAGOMBEA
WALIOTEULIWA
KUNDI A: WAGOMBEA WANAWAKE
S/NO.
|
JINA
|
CHAMA
|
1.
|
Nd. Angela Charles Kizigha
|
CCM
|
2.
|
Nd. Fancy Haji Nkuhi
|
CCM
|
3.
|
Dkt. Godbertha Kokubanza Kinyondo
|
CCM
|
4.
|
Nd. Janet Deo Mmari
|
CCM
|
5.
|
Nd. Janet Zebedayo Mbene
|
CCM
|
6.
|
Nd. Maryam Ussi
Yahya
|
CCM
|
7.
|
Nd. Rose Daudi Mwalusamba
|
CUF
|
8.
|
Nd. Sebtuu Mohamed Nassor
|
CCM
|
9.
|
Nd. Shy-Rose Sadruddin Bhanji
|
CCM
|
10.
|
Nd. Sofia Ali Rijaal
|
CCM
|
S/NO.
|
JINA
|
CHAMA
|
1.
|
Nd. Abdullah Ali Hassan Mwinyi
|
CCM
|
2.
|
Dkt. Ahmada Hamad Khatib
|
CCM
|
3.
|
Dkt. Haji Mwita Haji
|
CCM
|
4.
|
Nd. Khamis Jabir Makame
|
CCM
|
5.
|
Dkt. Said Gharib Bilal
|
CCM
|
6.
|
Nd. Zubeir Ali Maulid
|
CCM
|
S/NO.
|
JINA
|
CHAMA
|
1.
|
Nd. Antony Calist Komu
|
CHADEMA
|
2.
|
Dkt. Fortunatus Lwanyantika Masha
|
UDP
|
4.
|
Nd. Juju Martin Danda
|
NCCR-MAGEUZI
|
5.
|
Nd. Micah
Elifuraha Mrindoko
|
TLP
|
6.
|
Nd. Mwaiseje S. Polisya
|
NCCR-MAGEUZI
|
7.
|
Nd. Nderakindo Perpetua Kessy
|
NCCR- MAGEUZI
|
8.
|
Nd. Twaha Issa Taslima
|
CUF
|
S/NO.
|
JINA
|
CHAMA
|
1.
|
Nd. Adam Omar Kimbisa
|
CCM
|
2.
|
Nd. Bernard Musomi Murunya
|
CCM
|
3.
|
Nd. Charles Makongoro Nyerere
|
CCM
|
4.
|
Dkt. Edmund
Bernard Mndolwa
|
CCM
|
5.
|
Nd. Elibariki Immanuel Kingu
|
CCM
|
6.
|
Dkt. Evans Mujuni
Rweikiza
|
CCM
|
7.
|
Nd. John Dunstan Lifa-Chipaka
|
TADEA
|
8.
|
Nd. Mrisho Mashaka Gambo
|
CCM
|
9.
|
Nd. Siraju Juma Kaboyonga
|
CCM
|
10.
|
Nd. William John Malecela
|
CCM
|
S/NO.
|
JINA
|
CHAMA
|
1.
|
Nd. Mohamed Abdulrahman Dedes
|
CUF
|
Napenda
kutoa shukrani kwa Wagombea wote kwa ushirikiano wao katika kukamilisha zoezi
hili la uteuzi. Aidha, tunawaomba wapiga
kura, wakati utakapofika, wazingatie matakwa ya Sheria na Kanuni zinazotawala
chaguzi hizi.
Dkt. Thomas D.
Kashililah
KATIBU
WA BUNGE NA MSIMAMIZI WA
UCHAGUZI
BUNGENI
DODOMA
No comments:
Post a Comment