Habari za Punde

*MATUKIO KAATIKA PICHA RAIS AKITANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, baada ya kutangaza Baraza jipya la Mawaziri leo. PICHA IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na waandishi wa habari wakati wa akitangaza Baraza la Mawaziri leo.

Baadhi ya Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa kazini wakati Rais Jakaya Kikwete akitangaza Baraza la Mawaziri leo Ikulu.
Wanahabari wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza Baraza la Mawaziri leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.