Habari za Punde

*MKUTANO WA KUNDI LA G 77 NA CHINA

Bi Fauzia Mwita, kutoka Idara ya Mazingira Zanzibar, akishiriki katika majadiliano ya kuweka msimamo wa pamoja wa nchi zinazoendelea katika mkutano wa kundi la G77 na China, katika mkutano wa mabadiliko ya
Tabia nchi unaoendelea mjini Bonn.
Mkurugenzi wa Mazingira Zanzibar, Bw. Sheha Mjaja akifuatilia mjadala wa kuweka msimamo wa pamoja wa nchi zinazoendelea katika mkutano wa kundi la G77 na China, kwenye Mkutano wa mabadiliko ya Tabianchi unaendelea
mjini Bonn.

Bw. Ladsalus Kyaruzi (Kulia) na Mhandisi Alphonce Bikulamchi Maofisa
Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakishiriki katika majadiliano ya kuweka msimamo wa pamoja wa nchi zinazoendelea katika kundi la G77  na
China. Katika mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Bonn nchini Ujerumani. Picha na Evelyn Mkokoi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.