Habari za Punde

*NINI TAFSIRI YA PICHA HII??

Ni kama anasema kwaheri karibu tena au kwaheri njia nyeupe, au asante kwa kutukabidhi Ofisi?
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (katikati) akimsindikiza aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Ezekiel Maige, baada ya makabidhiano ya Ofisi Jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Lazaro Nyalandu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.