Habari za Punde

*TBL NA EXECUTIVE SOLUTION YAWANOA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO NA KUTAMBULISHA KAMPENI MPYA YA100% Tanzania Flava,

  Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe, akizungumza na Waandishi wa Habari za Michezo (hawapo pichani) wakati wa semina maalum kuhusu uanzishwaji, matumizi ya picha za matangazo na uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Kilimanjaro, inayokwenda kwa jina la 100% Tanzania Flava, iliyoandaliwa na kampuni hiyo leo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya New Afrika, Jijini Dar es Salaam. Kabla ya semina hiyo na waandishi wa habari ilianza Semina maalum kwa Wahariri wa habari za michezo kutoka Vyombo vya habari mbalimbali, Picha zao endelea chini.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe, akizungumza na Waandishi wa Habari za Michezo, wakati wa Semina hiyo. 
 Waandishi wa habari za michezo na Burudani, Mbozi Ernest 'Katara' na Willboad Moland, wakijumuika na wenzao katika semina hiyo.
 Waandishi wa habari za michezo kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishiriki Semina hiyo leo.
 Ibrahim Maestro kutoka Clouds Fm, akiwa ni miongoni mwa waandishi wa habari waliohudhuria Semina hiyo.
 Mama Pipiro (kulia) akiwa na Onesmo Kapinga ndani ya ukumbi huo.
 Waandishi wa habari za michezo kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishiriki Semina hiyo leo.
 Kutoka (kulia) Zena Chande, Vick, Somoe Ng'itu na Asha Kigundula, wakishiriki Semina hiyo.
Wanablogger pia walialikwa katika semina hiyo, (kulia) ni Othman Michuzi na Bashir Nkoromo, wakiwa kazini wakipandisha taarifa kuhusu semina hiyo.
 Mhariri wa Habari za Michezo wa Gazeti la Champion,Saleh Alii, akichangia mada katika Semina hiyo.
Mhariri wa Habari za Michezo wa Radio One, Maulid Kitenge, akichangia mada katika Semina hiyo.
 Mhariri wa Gazeti la Super Star, Michael Maurus (kushoto) akiwa na Meneja wa Habari wa Kampuni ya Executive Solutions ambao ndiyo waandaaji wa Semina hiyo, Michael Mukunza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.