Beki wa zamani wa Klabu ya Simba, aliyekuwa na ndoto lukuki ya siku moja kuvaa jezi ya rangi ya Njano na Kijani na kuichezea Klabu ya Yanga, Kelvin Yondan, (wa Pili kushoto), aliyesajiliwa hivi karibuni akishiriki na wachezaji wenzake wakati akikaribishwa na wachezaji hao alipofika kwa mara ya kwanza kushiriki mazoezi ya timu hiyo, leo yaliyofanyika Uwanja wa Kaunda Dar es Salaam.
TANESCO YATEKELEZA KWA MAFANIKIO PROGRAMU YA “KONEKT UMEME, PIKA KWA UMEME”
NCHI NZIMA
-
Na Mwandishi wetu.
Siku chache baada ya uzinduzi rasmi wa programu maalum ya Konekt Umeme,
Pika kwa Umeme uliofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhes...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment