Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, akipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (kushoto) Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanzibar, Fatma Fereji (wa pili kushoto) wakati walipkuwana katika hafla ya chakula cha jioni, iliyoandaliwa na Rais wa Brazil, Dilma Rousseff, kwa viongozi waliohudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) uliomalizika mwishoni mwa wiki Jijini Rio de Jeneiro, nchini Brazil.
Wahitimu wa St. Mary’s Watakiwa Kujiamini na Kuthubutu Kufikia Mafanikio”
-
Na Mwandishi Wetu
MTHIBITI Ubora wa Elimu wa Wilaya ya Kinondoni, Paschalina Herman Msofeo
amewataka wahitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment