Na Mwandishi Wetu SEHEMU ya mapato yatakayopatikana katika shindano la urembo la kitongoji cha Kigamboni mwaka huu yataenda kusaidia ukarabati wa madarasa yaliyopo kwenye Shule ya Msingi Kigamboni iliyopo jijini Dar es Salaam imeelezwa. Shindano la urembo la kitongoji cha Kigamboni linatarajiwa kufanyika Juni 15 kwenye Ukumbi wa Navy Beach kuanzia saa 1:00 usiku. Akizungumza jana, Mratibu wa shindano hilo, Somoe Ng'itu, alisema kuwa wameamua kutoa sehemu ya fedha zitakazopatikana kwa lengo la kuipa heshima ya shule hiyo ambayo ni moja ya sehemu zilizotoa washiriki wa kinyang'anyiro hicho na wajumbe wa kamati ya maandalizi. Alisema kuwa wanawaomba wakazi wa Kigamboni na wengine kutoka sehemu mbalimbali jijini kujitokeza kushuhudia warembo wao ambao hapo baadaye wataenda kukiwakilisha kitongoji hicho kwenye mashindano ya Kanda ya Temeke. Aliongeza kuwa katika kusindikiza shindano hilo, bendi muziki wa dansi ya FM maarufu kama 'Wazee wa Ngwasuma' pamoja na msanii wa vichekesho Mpoko watatoa burudani ya aina yake katika shindano hilo. Mratibu huyo kutoka kampuni ya K& L, aliwataja warembo wanaojiandaa kuwania taji hilo kuwa ni pamoja na Carolyne Dandu, Fatina Francis, Edda Slyvester, Aisha Mussa, Rosemary Peter, Doreen Kweka, Carolyne Peter, Agnes Goodluck, Sophia Martine, Rosemary Deogratius, Beatrice Boniface, Julieth Philip na Khadija Kombo. Aliwataja wadhamini ambao tayari wamethibitisha kudhamini shindano hilo ni pamoja na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Redd's, Dodoma Wine na NSSF,Hope country Motel, Norbro’s Collections, Screen Masters, Clouds FM, Times FM na Global Publishers. Warembo watano watakaofanya vizuri watachuana na wenzao wa Chang'ombe kuwania taji la Kanda ya Temeke hapo baadaye. |
*MISS KIGAMBONI KUTUMIA SEHEMU YA MAPATO KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIGAMBONI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MATANGAZO MADOGO MADOGO
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
BLOGU RAFIKI
-
-
TRA Yasisitiza Maadili kwa Watumishi, Wanaokiuka Kuchukuliwa Hatua - DAR ES SALAAM – Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaendelea kutoa elimu kwa watumishi wake kuhusu maadili ya kazi sambamba na kuchukua hatua kali...6 hours ago
-
Wizara ya Katiba na Sheria Yatangaza Mikakati ya Kukuza Haki na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 - Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Katika hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt....10 hours ago
-
BETIKA WAZINDUA JEZI YA MSIMU WA 10 WA TULIA MARATHON MBEYA - KAMPUNI ya ubashiri, Betika Tanzania ikishirikiana na Taasisi ya Tulia trust kupitia Betika Mbeya Tulia Marathon imezindua rasmi jezi ambayo itatumika Ms...12 hours ago
-
RAIS SAMIA ATANGAZA MAAMUZI SITA MAZITO - Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza mkakati wa haraka wa mambo sita yenye lengo la kuirejesha Tanzania kwenye misingi yake ya amani, ukiwa ni muendelezo...1 day ago
-
NBAA YAREJESHA KWA JAMII KUPITIA UCHANGIAJI DAMU NA MISAADA MOROGORO - Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kuonesha dhamira yake ya kurejesha kwa jamii kwa kushiriki katika zoezi la ucha...1 week ago
-
Kimataifa : Museveni na Kikwete Wakutana Kampala Kujadili Amani Sudan Kusini - RAIS wa Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Tanzania na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afri...2 weeks ago
-
TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...4 months ago
-
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...1 year ago
-
-
BODI YA MAJI BONDE LA KATI YAWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI KUFUATIA MAFURIKO KWENYE MAZIWA YA KINDAI, MUNANG NA SINGIDANI - * Mhandisi Rasilimali za Maji, Bodi ya Maji Bonde la Kati, Moses Salumbi (kushoto), akiweka alama za ukomo wa maji ya mafuriko kwenye Maziwa ya Kindai na...6 years ago
-
MSANII DIAMOND AZINDUA WIMBO WA COLOURS KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI - Cathbert Kajuna To:amichuzi,othmanmichuzi,MUHIDIN MICHUZI,Geofrey Adroph Bcc:fungoomar@yahoo.com May 15 at 6:00 AM Msanii Diamond akipagawisha mashabiki wa...7 years ago
-
RAIS JOHN MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA JCA NA BALOZI WA JAPAN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shini...8 years ago
-
JOSE MOURINHO HAS REPORTEDLY 'SHOKED' SOME OF HIS MANCHESTER UNITED PLAYERS - *Jose Mourinho might have hoped for a longer honeymoon at Manchester United, but three defeats in a row, in the space of a week, have led to the first maj...9 years ago
-
TIBA YA MAGONJWA YAKO NA MATATIZO MBALIMBALI SASA HII HAPA BEI NAFUU SOMA HAPA KWA MAKINI - Je? Unaumwa au unasumbuliwa na matatizo yoyote kiafya? Unahitaji msaada wa haraka, tuna virutubisho sahihi kuondoa magonjwa kama kisukari, presha, uvimb...9 years ago
-
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE' - Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo ambal...11 years ago
-
SIMBA ILIPOWASHANGAZA MASHABIKI WA SOKA JANA,ILIPOCHOMOA MABAO 3 NA KULAZIMISHA SARE YA 3-3 - * Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', akiwania mpira na kipa wa Simba Abel Dhaira, wakati wa kipindi cha pili cha mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanza...12 years ago
-
-
-
-

No comments:
Post a Comment