Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, alipowasili akitokea mkoani Dodoma katika ziara ya kikazi. PICHA NA IKULU
Wito Watolewa kwa Wanasiasa Kulinda Amani, Kuepuka Kauli za Uchochezi
-
Amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa ni tunu muhimu zinazopaswa kulindwa
na kila Mtanzania, huku viongozi wa vyama vya siasa wakitakiwa kuwa mstari
wa...
9 hours ago

No comments:
Post a Comment