Wananchi wakiangalia ajali ya pikipiki iliyotokea Barabara ya Nyerere eneo la Njia panda ya Vingunguti jana, ambapo ilielezwa kuwa dereva wa pikipiki hiyo aliumia vibaya na kukimbizwa hospitali. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo iliyofanya pikipiki kubondeka na kuwa kama chapati kuanzia mbele hadi tenki la mafuta na kubaki tairi la nyuma pekee.
PSSSF, TBN KUIMARISHA USHIRIKIANO UTOAJI ELIMU YA HIFADHI YA JAMII
-
Katika hatua inayolenga kupanua wigo wa utoaji wa elimu kwa umma, timu ya
maofisa wa juu kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma
(PSSSF) ime...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment