Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini, Askofu Mkuu Fransisko Montecillo Padilla, akimpaka mafuta ya kipaimala Theodory Helon, wakati wa ibada ya Sakaramenti ya kipaimala iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Osyterbay jijini Dar es Salaam jana. Jumla ya watoto 72 walipata sakramenti hiyo, kushoto ni mzazi wa kiroho wa mtoto huyo, Daniel Mwisongo.
;Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini, Askofu Mkuu Fransisko Montecillo Padilla, akimkabidhi Aivan Catrece, zawadi ya msalaba wakati wa ibada ya Kipaimala iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro Osyterbay jijini Dar es Salaam.
Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo Padilla, akitoa baraka kwa waumini wa kanisa la Mtakatifu petro Oysterbay wakati wa Ibada ya Kipaimala,Askofu huyo ilikuwa mara yake ya kwanza kuongoza ibada katika kanisa hilo ambapo alisalimiana na waumini wote kwa kuwapa mikono na baraka.
Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo Padilla, akitoa baraka kwa waumini wa kanisa la Mtakatifu petro Oysterbay wakati wa Ibada ya Kipaimala,Askofu huyo ilikuwa mara yake ya kwanza kuongoza ibada katika kanisa hilo ambapo alisalimiana na waumini wote kwa kuwapa mikono na baraka.
Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo Padilla, akitoa sakaramenti ya kipaimala kwa Aivan Catrece, wakati wa ibada iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro Osyterbay jijini Dar es Salaam jana, ambapo Jumla ya watoto 72 walipata ekaristi takatifu ya kipaimala.Wapili kulia ni Paroko wa kanisa hilo, Padri Joseph Mosha.
Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo Padilla, akiwahutubia watoto wa kipaimala wakati wa ibada ya sakaramenti iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro Osyterbay jijini Dar es Salaam, Jumla ya watoto 72 walipata ekaristi hiyo.
Mmoja wa watoto waliopta sakaramenti ya kipaimala katika kanisa la Mtakatifu Petro, Aivan Catrece, akionyesha kipaji chake cha kupiga ngoma wakati wa Ibada hiyo.
Baadhi ya watoto kati ya 72 waliopata sakaramenti ya kipaimala wakionyesha vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Padilla, wakati wa ibada hiyo iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Osytarabay jijini Dar es Salaam.
Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo Padilla, akikabidhiwa zawadi ya mbuzi na Catrece Theodory ambaye ni mmoja wa wajumbe wa kamati wakati wa Ibada ya kipaimala iliyofanyika jana katika kanisa la mtakatifu Petro oysterbay jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Paroko wa parokia hiyo Joseph Mosha.
No comments:
Post a Comment