Baada ya kinyang’anyiro cha uchaguzi wa Mkutano Mkuu Kata ya Kivukoni wilayani Temeke jijini Dar es Salaam uliofanyika leo katika viwanja vya Karimjee, Adriano Richard Haonga (kushoto) na Zulfikar Ali Mzige (pichani) wameibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya.
Serikali Yatoa Rai kwa NIT Kuzalisha Wataalamu wa Usafiri wa Kimataifa
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, Julai 24, akipata maelezo
wakati alipotembelea chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) jijini Dar es
Salaam l...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment