Habari za Punde

*MAFUNZO YA ZANZIBAR NA TUSKER YA KENYA ZATOKA SARE YA 0-0

  Beki wa Tusker ya Kenya, Jackins Atudo (kushoto) akijaribu kumtoka mshambuliaji wa Mafunzo ya Zanzibar, Mohamed Abdulrahim, wakati wa mchezo wa kombe la Kagame uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 0-0.
 Kikosi cha Tusker ya Kenya.
Kikosi cha Mafunzo ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.