Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, kilichofanyika leo mchana, katika ukumbi wa TAMISEMI, mjini Dodoma.
Wito Watolewa kwa Wanasiasa Kulinda Amani, Kuepuka Kauli za Uchochezi
-
Amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa ni tunu muhimu zinazopaswa kulindwa
na kila Mtanzania, huku viongozi wa vyama vya siasa wakitakiwa kuwa mstari
wa...
10 hours ago

No comments:
Post a Comment