Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, Asha-Rosre Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kushukuru baada ya kumaliza muda wake wa kazi katika Shirika hilo la Kimataifa UN.
TRA YAZINDUA DAWATI LA KUWEZESHA BIASHARA NCHINI JIJINI ARUSHA
-
Na. VERO IGNATUS ARUSHA.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua rasmi dawati maalum la kuwezesha
biashara nchini (Trade Facilitation Desk) litakalokuw...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment