Baadhi ya wadau wa masuala ya Ayfa wakielekea ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo kusikiliza Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa mwaka wa fedha 2012-2013 iliyowakilishwa na Waziri wa Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi, leo. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Mbwanga mkoani Dodoma wakisubiri kuingia katika ukumbi wa Bunge leo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi, akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake Bungeni mjini Dodoma leo.
Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia, akichangia bajeti ya wizara ya Afya Bunge mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Dkt, Augustine Mrema (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utawala Bora (SEGODETA) Thomas Ngawaiya wakiwa katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment