Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mkuu wa mkoa wa Moropgoro, Joel Bendera (kulia) wakishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa mbunge wa zamani wa jimbo la Kilosa na Mwenyekiti wa mkoa huo, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi yaliyofanyika leo, Wami Dakawa, wilayani Mvomelo, Morogoro. Alhaji Shaweji alifariki jana. Picha na Bashir Nkoromo.
DC MAGOTI AFUNGA MAFUNZO KWA MADIWANI WA MKOA WA PWANI
-
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mheshimiwa Petro Magoti akiwa kwenye picha ya
pamoja na Mtendaji Mkuu wa ADEM, Dkt. Maulid J. Maulid, Katibu Tawala wa
Wilaya...
43 minutes ago
.jpg)
No comments:
Post a Comment