Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi hanga la Precisionair katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi.Kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Dkt.Harrison Mwakyembe na kulia ni mwanzilishi na Mwenyekiti wa Precision air Bwana Michael Shirima.
RAIS WA ZANZIBAR AAFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA TANZANIA WANAOWAKILISHI
TANZANIA KATIKA NCHI ZA SWEDEN,RWANDA,ZIMBABWE NA MSUMBIJI
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda Mhe. Balozi Dkt.Habibu
Kam...
31 minutes ago
No comments:
Post a Comment