Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi na waumini wengine wa Mkoa wa Lindi aliowakaribisha katika futari Ikulu ndogo ya Mkoani Lindi jana.
Mkuu wa Mkoa a Lindi Mhe Ludovick Mwananzila akishiriki katika futari hiyo pamoja na waalikwa wengine.
Wageni waalikwa wakijisevia futari.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru waalikwa kwa kuhudhuria katika hafla ya futari aliyoandaa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Magereza wa Mkoa wa Lindi (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Uhamiaji ya mkoa waliokuwa miongoni mwa wageni waalikwa.
No comments:
Post a Comment