Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI KGALEMA MONTLANTE

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlante (kushoto) ikulu jijini Dar es Salaam Jana jioni. Kulia nia Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal. Picha na Freddy Maro
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akimkaribisha ikulu Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlante wakati mgeni huyo alipomtembelea Rais jana jioni.kulia ni makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.