Michezo mingine bwana, wala haifai hata kuiga sasa mchezo huu nini faida yake zaidi ya hasara na hatari ya ulemavu wa maisha. Vipi ukianzisha na hapa Bongo Wadau wa michezo mtajitokeza kuwahi fomu za kujiunga?
DC ILALA AMALIZA MGOMO WA WAFANYAKAZI ZAIDI YA 1,500 WA KIWANDA CHA NAMERA,
GONGOLAMBOTO
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amefanikiwa kumaliza mgomo wa
wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa Kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolamboto,
jijini...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment