Washiriki wa warsha ya wapiga picha kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa EAC anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa Dkt. Julius Rotich (aliyeketi wa pili kushoto) jijini Arusha jana. Kushoto kwake ni Kaimu mkuu wa mpango wa EAC-GIZ (kulia) ni Mkuu wa Idara ya Habari EAC Owora Othieno. Kulia kabisa aliyesimama ni mratibu wa mafunzo wa EAC Sukhdev Chhatbar.
UDOM YAKUTANA NA WADAU KUCHAMBUA NAFASI YA AKILI UNDE KATIKA UTAWALA BORA
-
*Na Mwandishi Wetu, Dodoma*
*Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa teknolojia na
wataalamu wa utawala wamekutana leo Jijini Dodom...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment