Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Ali Mohamed Shein,akisalimianana Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa Benard Membe,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kwa madhumuni ya kutoa mkono wa pole kwa Rais kutokana na Ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul,na kusababisha wananchi kupoteza maisha. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Bashiri na Ushinde na Meridianbet Sasa
-
ALHAMISI ya leo ni nzuri sana endapo ikisindikizwa na jamvi la uhakika
ndani ya Meridianbet. Timu kibao za kufuzu Europa zipo uwanjani hapo baadae
kuh...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment