Katapila linalofanya kazi ya kuchimba katikati ya barabara ya Morogoro eneo la Mbezi Mwisho, likiwa limeanguka katikati ya mtaro huo linaouchimba leo mchana. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.
RAIS SAMIA ASISITIZA UHURU NA UBORESHAJI WA MASLAHI YA MAHAKAMA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amefungua rasmi Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji
Tanzani...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment