Habari za Punde

*DKT. JANETH AMEREMETA AFANYIWA SHEREHE YA KUMUAGA SEND OFF

Dr. Janeth (kulia) akiwa na mpambe wake.
Baba na Mama Mandepo wakiwa na nyuso za furaha katika sherehe ya kumuaga binti yao Dr. Janeth iliyofanyika katika ukumbi wa Mwika - Sinza.
Wakwe watarajiwa wa Dr Janeth wakifuatilia kwa umakini sherehe ya kupongezwa kwa mkwe wao.
Dr. Janeth akipiga picha ya kumbukumbu na Madaktari na wafanyakazi wenzake kutoka Hospitali ya Mwananyamala.
Dr. Janeth akipiga picha ya kumbukumbu na wanakamati waliomfanyia sherehe yake ya kumuaga (Sendoff) wakiongozwa na kaka yake Mh. Mtarajiwa George Mandepo wa pili kulia.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.