Marekani imesema kuwa haina amani na imetilia wasiwsi mkubwa kauli iliyotolewa na Serikali ya Syria, ya kuwa sasa iko tayari kwa majadiliamo na waasi na hata kukutana na kuzungumzia suala la kuondoka madarakani kwa Rais Al-Assad.
USALAMA WA MIONZI UMEPEWA KIPAUMBELE KATIKA MAFUNZO YA SIKU NNE YA TAEC
JIJINI ARUSHA
-
*Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imefanikisha kuendesha mafunzo ya
kitaifa ya siku nne kuhusu usalama wa mionzi ya mashine za X-Ray na vyanzo
vingi...
48 minutes ago

No comments:
Post a Comment