Pichani ni Mtoto aliyezaliwa na vichwa viwili katika hospital ya DDH Bunda mkoani Mara, mtoto huyu alikaa kwa saa moja ni kisha kufariki dunia picha imepigwa na Berensi Alikadi mshiriki wa mafunzo ya Online Journalism yanayoendelea Mkoani Mara , Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Mkufunzi Msaidizi Mkami Jr Kutoka Mjengwa Blog , Yakiratibiwa na UTPC
SPACK KUZIKWA CHAMAZI KWA MKONGO KESHO
-
Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Selemani Mvamba almaarufu 'Spack',
anatarajiwa kuzikwa kesho Aprili 28 Chamazi kwa Mkongo.
Meneja wa msanii huyo Abd...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment