Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AFURAHIA MAVUNO YA MAHINDI SHAMBANI KWAKE MSOGA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, Mkoa wa Pwani. 
Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na ameonesha kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake. 
 Hii  katika kutekeleza kwa vitendo sera ya Serikali  ya kuendeleza kwa ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya sekta ya kilimo katika Tanzania, 'Kilimo Kwanza'.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.