Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AWAAPISHA MTENDAJI MKUU NA WASAJILI WA MAHAKAMA IKULU LEO

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mtendaji mkuu wa Mahakama,  Hussein Katangapa, moja na Msajili mkuu wa Mahakama na msajili wa mahakama ya rufani katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam. 

Wengine walioapishwa leo ni Mtendaji mkuu wa Mahakama, Msajili Mkuu wa Mahakama, Ignus Paul Kitusi na Msajili wa Mahakama ya Rufani, Panterine Muliisa Kente. 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue(kushoto) pamoja na maofa waandamizi wa mahakama aliowaapisha leo asubuhi ikulu jijini Dar es Salaam.(Wapili kushoto) ni Mtendaji mkuu wa Mahakama  Bwana Hussein Katanga,(Wanne kushoto) ni Msajili Mkuu wa Mahakama Bwana Ignus Paul Kitusi na kulia ni Msajili wa Mahakama ya Rufani Bwana Panterine Muliisa Kente .Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.