Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moahmed Shein, akijiandikisha na familia yake kwa Karani, Asia Hassan Mussa,(kushoto) katika zoezi la Sensa ya Watu na Makaazi, lililoanza leo nchini kote,Rais akiwa katika Shehia ya Migombani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kulia ) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Mfumo Mpya wa Kodi Kuleta Mapinduzi Makubwa ya Ukusanyaji wa Mapato Nchini.
-
Na Mwandishi Wetu
Hatua kubwa ya mageuzi ya kodi nchini imefikiwa kufuatia tangazo la kuanza
kutumika kwa mfumo mpya wa ukusanyaji wa kodi za ndani, hatua...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment