Mshambuliaji wa timu ya Jamhuri ya Pemba, Mohamed Ally (kulia) akimtoka beki wa Simba, Hassan Khatib, wakati wa mchezo wa Super 8 uliochezwa kwenye Uwanja wa Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, leo. Timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1.
Bandari ya Dar es Salaam: haijauzwa imekodishwa kwa tija
-
Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ametoa ufafanuzi mzito na wa
kina mbele ya vyombo vya habari leo katika Bandari ya Dar es Salaam,
akion...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment