'Chamaki Nchanga', Panya akiandaliwa hapa akinyonyolewa manyoya kwa kutumia moto wa gesi.
Baada ya kunyonyolewa huoshwa kama hivi.
Kisha hukatwa vichwa na kuondolewa kabisa na kubakisha kiwiliwili na kuanza kukatakata vipande tayari kwa kuanza kukaangwa au kupikwa.
Baada ya hapo hukaangwa mara mbili yaani kwa mafuta ya kwanza ambapo hukaangwa kwa kubabua kwa mafuta ya kwanza na kisha hukaangwa kwa mara ya pili.
Hapa tayari kwa kuungwa ama kukaangwa.
Msosi tayari mezani kwa kuliwa, je waweza kuju kuwa huyu alikuwa ni CHAMAKI NCHANGA?? yaani PANYA.
Je Ukikutana na paja kama hili katika Bufee utajua kama ni Panya?
No comments:
Post a Comment