Habari za Punde

*WADAU MAMA HUYU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

 Mkazi wa Kijiji cha Mnamba kata ya Nampa mkoa wa Lindi, Rafael Mohamed  (36) anayesumbuliwa na uvimbe wa pua tangu mwaka 1984 akisaidiwa na mtoto wake  Shafi Abdallah, (18) kwenda kutafuta mahitaji ya kilasiku, mama huyo anaomba msaada wa matibabu kwani madaktari wa Hospitali ya mkoa wa Lindi wameshindwa kumfanyia upasuaji.
NANI HAPA WA KUMSAIDIA MWENZAKE?,  Mwanafunzi wa shule ya msingi ya wasioona na wanaoona, Nyagao iliyopo Wilaya ya Lindi,  Hussein Omariakimsiiliza   Rafael Mohamed, anayesumbuliwa na  ugonjwa wa uvimbe ambao umemfanya ashindwe kuona wakati  walipokwenda shuleni hapo kwa ajiri ya kupatiwa msaada wa  vyakula mbalimbali vilivyotolewa msaada na wasamalia wema. 
KWA ATAKAYEGUSWA NA KUHITAJI KUTOA MSAADA WA AINA YEYOTE KWA MAMA HUYU IWE FEDHA AMA CHAKULA AWASILIANE NA MTANDAO HUU, AMA KWA NAMBA 0754 306109.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.