Mabondia wa uzito wa juu, David Michael Mlope 'Zola D – King' (kushoto) akitunishiana msuli na Alpjonce Joseph 'Mchumiatumbo' wakati wa wakipima uzito kwa ajili ya pambano lao litakalofanyika kesho siku ya idi pili, katika Uwanja wa Chuo cha Bandari Temeke.picha Super D
KISIWA CHA SAANANE CHAADHIMISHA 'BIRTHDAY' MIAKA 10 YA SIMBA
-
Simba wa Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha
Saanane akijiandaa kula keki maalum
Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment