Habari za Punde

*BENDI Y ASKYLIGHT YAWAPAGAWISHA VILIVYO MASHABIKI WAKE NDANI YA THAI VILAGE, DAR

Wanamuziki wa bendi ya Skylight wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho lao lililofanyika Thai Village mwishoni  wiki iliyopita. Bendi hiyo kwa sasa inatoa burudani kila Ijumaa Thai Village jijini Dar.
Vijana wa kazi wakitoa burudani ya kufa mtu...
Sebene likiwa limenoga.
Wanadada wa Skylight bendi Mary na Anneth, wakishambulia jukwaa.
Wadau wakishow love.
Kila mmoja alikuwa na furaha.
Haki Ngowi akiwa na rafiki yake nao waliwakilisha.
Mkurugenzi wa Ndege Insurance na Skylight Entertainment Bw. Sebastian Ndege (kulia) akiwa pamoja na marafiki zake.
Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja.
Marafiki wakisebeneka...
Wadau kutoka Clouds Fm nao waliweza kuja kuiunga mkono.
Warembo wakiweka kumbu kumbu.
Aha! wadau wote.
Mwimbaji wa bendi ya Skylidht Sam Machozi, akijiachia na mrembo.
Igizo jipya ndani ya Skylight bendi akitoa burudani.

Marafiki wakiwa katika nyuso za furaha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.