Habari za Punde

*CHEKA AMDUNDA NYILAWILA RAUNDI YA SITA

Bondia Francis Cheka akinyooshwa mkono juu na mmoja wa mashabiki wa Kigeni waliokuja kuangalia mpambano wake dhidi ya Karama Nyilawila Cheka alishinda katika raundi ya sita baada ya karama kusalimu amri kushoto ni Rais wa PST Emanuel Mlundwa na wa pili kulia ni mgeni rasmi Kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu Mkoa wa Dar es salaam Suleiman Kova.

Bondia Fransic Cheka kushoto akipepesuka baada ya kupigwa ngumi na Karama Nyilawila wakati wa pambano lao liliofanyika usiku wa jumamosi cheka alishinda kwa K.O raundi ya sita na kufanikiwa kunyakuwa ubingwa.
Bondia Fransic Cheka kushoto akimshambulia Karama Nyilawila kwa masumbwi wakati wa pambano lao liliofanyika usiku wa jumamosi. Cheka alishinda raundi ya sita baada ya kumpiga na kudondoka chini na kuesabiwa na kushindwa kuendelea.
Mabondia Karama Nyilawila kushoto akionesheana umwamba wa kutupa masumbwi na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao cheka alishinda kwa K,O Raundi ya sita.
Fransic Cheka kushoto na Karama Nyilawila wakiwa uringoni.
Mabondia Karama Nyilawila kushoto na Fransic Cheka wakionesheana umwamba wakati wa pambano lao liliofanyika usiku wa jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Cheka alishinda kwa K,O raundi ya sita picha na Super D

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.