Eti jamani dereva huyu mwenye gari ndogo anayeovertake mbele ya maroli kama imekaaje hapa wadau??? Hebu angalia gari ndogo iliyo katikati ya barabara inayokuja mbele yako imeyapita maroli mawili na mbele yake kuna Roli, je anakimbilia wapi kama huyu iwapo atashindwa kuwahi kuyapita maroli haya??
Rais Samia: Vijana Ndio Injini ya Serikali, Hatma ya Tanzania Ipo Mikononi
Mwenu
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema
vijana ndio nguzo kuu ya uendeshaji wa Seri...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment